Sign Up
Joseph Mwenda
Offline
on Saturday
Copy Post URL
Open in a new tab
Lakini wanaume tunakuanga very funny creatures, unapatana na mwanaume kwa matatu mnabonga hapo tu before ashuke. Alafu akishuka anakugotea anakwambia "we tutabonga" knowing very well hamtawai patana teena πŸ˜‚
34 Comments
ο»Ώ
More Posts from Joseph Mwenda