Rais Ruto akataliwa Kericho
Baadhi ya wakazi katika kaunti ya Kericho wameonyesha kusikitishwa kwao na uongozi wa rais William Ruto, wakisema hakuna maendeleo imeshuhudiwa katika kaunti hiyo tangu kuchaguliwa kwake. #Elections2027
ο»Ώ